Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia awapongeza Yanga kwa ushindi

Maxi Yanga Mz Rais Samia awapongeza Yanga kwa ushindi

Fri, 9 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Yanga sc baada ya Kuichapa Simba bao Moja kwa bila, Mechi ya Ngao ya Jamii iliyopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagrama Rais ameandika “Hongereni Yanga kwa ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii. #KariakooDerby”

“Huku Taifa likiendelea kuchapa kazi, tunatarajia burudani safi ya msimu mpya wa Ligi Kuu toka kwenu Watani wa Jadi pamoja na Azam, Coastal Union, Dodoma Jiji, Fountain Gate, JKT, KMC, Kagera Sugar, KenGold, Mashujaa, Namungo, Pamba Jiji, Singida Black Stars, Tabora United na Tanzania Prisons,” amesema Rais Samia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: