Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia awapa Yanga milioni 20 za huruma (+Video)

F297BED7 F039 430E BE27 4C3FB881BC2B.jpeg Rais Samia awapa Yanga milioni 20 za huruma

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Pindi Chana (kushoto) akimkabidhi kipa wa Yanga, Metacha Mnata fedha taslimu Sh. Milioni 20 zawadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa bao lao wakifungwa 2-1 na USM Alger Jumapili kwenye Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kiasi hiko cha pesa kilizua mjadala kwani ahadi ilikuwa ni sharti magoli hayo yelete ushindi.

Sasa msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amefafanua kwa nini Yanga wamepata fedha hizo licha ya kutopata ushindi.

Msikilize hapa chini Msigwa akifafanua;

View this post on Instagram

A post shared by Gerson Msigwa (@gersonmsigwa)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: