Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia apewa Tuzo ya Heshima na TFF

Samia Hotuba Sensaaa Rais Samia apewa Tuzo ya Heshima na TFF

Tue, 13 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu amepewa tuzo ya Heshima kwa mchango wake katika kuendeleza maendeleo ya michezo katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu amepewa tuzo ya Heshima kwa mchango wake katika kuendeleza maendeleo ya michezo katika hafla ya Tuzo za TFF inayoendelea Mnyanjani jijini Tanga. Rais Samia amefanya mengi kwenye michezo ikiwemo kampeni yake ya goli la mama lililohamasisha mafanikio ya vilabu vyetu kimataifa. Lakini pia alitoa ndege ya bure kwenda Algeria na kurudi kwa klabu ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live