Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia amtambia rais Hichilema kuhusu AFCON

Samia Hichilema Rais Samia amtambia rais Hichilema kuhusu AFCON

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan amemtambia Rais mwenzake wa Zambia, Hakainde Hichilema na kusema kuna sehemu watakuwa tofauti.

Zambia na Tanzania zimepangwa kundi F pamoja na timu za Morocco na Congo katika Mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kuchezwa Januari 2024 nchini Ivory Coast.

“Kuna sehemu tutakuwa tofauti katika mashirikiano yetu, napo ni kwenye Timu zetu za Taifa na ziko kundi moja AFCON,“ alisema Rais Samia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live