Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia akutana na Rais wa CAF

Motsepe Samia 1 Rais Samia akutana na Rais wa CAF

Fri, 20 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Patrice Motsepe mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Oktoba 20,2023.

Motsepe yuko nchini kushuhudia mchezo wa AFL kati ya Simba SC dhidi ya Al-Ahly Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo jioni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: