Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Samia aipongeza Stars ushindi wa 2-1 dhidi ya Guinea

Rais Samia Akemea Rais Samia aipongeza Stars ushindi wa 2-1 dhidi ya Guinea

Wed, 11 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Pongezi za dhati kwa ushindi wa Stars hapo jana dhidi ya Guinea kwa goli 2 - 1katika mechi ya kuwania kufuzu mashindano ya Afcon 2025.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Pongezi za dhati kwa ushindi wa Stars hapo jana dhidi ya Guinea kwa goli 2 - 1katika mechi ya kuwania kufuzu mashindano ya Afcon 2025. Stars inashika nafasi ya pili kundi H wakiwa na alama 4 ambapo Nafasi ya kwanza inashikwa na DRC Congo akiwa na alama 6.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live