Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Real Madrid akutana na Wachezaji kuelekea Nusu Fainali UEFA

GFRDR Rais Real Madrid akutana na Wachezaji kuelekea Nusu Fainali UEFA

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Real Madrid Florentino Pérez amekutana na wachezaji wake kueleke mechi yao ya Nusu Fainali ya Uefa Champions League dhidi ya Bayern Munich leo

Mechi itapigwa Santiago Bernabeu saa 4:00 usiku, BAADA ya kushuhudia mchezo wa kwanza huko Alianz Arena Ujerumani kumalizika kwa sare ya bao 2-2

Hapa bongo Rais wako hukutana na wachezaji?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live