Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Primeiro De Agosto aahidi Dola 5000

Gen Carlos 1140x627.png Rais Primeiro De Agosto aahidi Dola 5000

Fri, 14 Oct 2022 Chanzo: Dar 24

Wakati Kikosi cha Primeiro De Agosto kikitarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam leo Ijumaa (Oktoba 14) kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC, Uongozi wa klabu hiyo ya Angola umewaahidi ‘DONGE NONO’ Wachezaji wao endapo watapindua meza na kutinga Hatua ya Makundi.

Wakati Kikosi cha Primeiro De Agosto kikitarajiwa kuwasili jijini Dar es salaam leo Ijumaa (Oktoba 14) kwa ajili ya mchezo wa Mkondo wa Pili wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC, Uongozi wa klabu hiyo ya Angola umewaahidi ‘DONGE NONO’ Wachezaji wao endapo watapindua meza na kutinga Hatua ya Makundi. Primeiro De Agosto itacheza mchezo wa Mkondo wa Pili Jumapili (Oktoba 16) katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza nyumbani kwa mabao 3-1 mwishoni mwa juma lililopita (Jumapili-Oktoba 09).

Chanzo: Dar 24