Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais PSG amtaka Mbappe, Kauli yake yazua utata

Skysports Al Khelaifi Mbappe 5781402 Rais PSG amtaka Mbappe, Kauli yake yazua utata

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Paris St-Germain Nasser Al-Khelaifi, anasema ana hamu kubwa ya kuendelea kumuona mshambuliaji Kylian Mbappe akiendelea kusalia kwenye kikosi cha mabingwa hao wa Ufaransa.

Al-Khelaifi anaamini Paris St-Germain bado ndio klabu bora kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye kandarasi yake kwenye klabu hiyo inamalizika msimu wa majira ya joto.

Tayari kuna taarifa zinazosema kuwa Mbappe ameshamalizana na Real Madrid baada ya kumaliza Mkataba wake Juni Mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live