Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais PSG agoma kumlipa Mbappe Mshahara wake

Skysports Al Khelaifi Mbappe 5781402 Rais PSG agoma kumlipa Mbappe Mshahara wake

Sun, 2 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaarifiwa kuwa Rais wa klabu ya PSG Nasser Al-Khelaifi bado hajaridhishwa na kitendo cha nyota wa klabu hiyo Kylian Mbappe kujiunga na Real Madrid kama mchezaji huru.

Inaarifiwa kuwa Rais wa klabu ya PSG Nasser Al-Khelaifi bado hajaridhishwa na kitendo cha nyota wa klabu hiyo Kylian Mbappe kujiunga na Real Madrid kama mchezaji huru. Kinachoonekana ni kuwa Rais huyo amekataa kumlipa Mbappe stahiki zake za zaidi ya Euro Milioni 80 ambao ni mshahara wake pamoja na Bonasi anazotakiwa kulipwa na klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live