Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Nigeria awapa wachezaji zawadi ya Nyumba

Nigeria Nyumbaaaaaa Rais Nigeria awapa wachezaji zawadi ya Nyumba

Wed, 14 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Nigeria Bola Tinubu amewazawadia Nyumba wachezaji wa timu ya Taifa hilo "Super Eagles" baada ya kumaliza washindi wa pili wa fainali za mataifa ya Afrika zilizomalizika nchini Ivory Coast.

Rais wa Nigeria Bola Tinubu amewazawadia Nyumba wachezaji wa timu ya Taifa hilo "Super Eagles" baada ya kumaliza washindi wa pili wa fainali za mataifa ya Afrika zilizomalizika nchini Ivory Coast. Nyumba hizo zipo kwenye mji mkuu wa Nigeria, Lagos. Nigeria ilipoteza mchezo wa fainali kwa kufungwa goli 2-1 na wenyeji Ivory Coast.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live