Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Morocco awapiga mkwara Bayern "Leteni Madaktari Ivory Coast"

Noussair Mazraoui Noussair Mazraoui

Tue, 23 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Taifa ya Morocco kupitia kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (MFA)Fouzi Lekjaa, imeiambia klabu ya Bayern Munich itume timu ya madaktari nchini Ivory Coast ili kumtibia mchezaji Noussair Mazraoui.

Timu ya Taifa ya Morocco kupitia kwa Rais wa Shirikisho la Soka nchini (MFA)Fouzi Lekjaa, imeiambia klabu ya Bayern Munich itume timu ya madaktari nchini Ivory Coast ili kumtibia mchezaji Noussair Mazraoui. Noussair Mazraoui anaichezea klabu na Bayern Munich ambapo wakati huu yupo katika mashindano ya AFCON 2023 ila kutokana na majeraha aliyopata Bayern Munich walitaka kumchukua mchezaji huyo wakamtibie Ujerumani ila Morocco wamekataa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live