Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Medeama: Tunakwenda kuifunga Yanga Ijumaa

Moses Armah Parker Rais Medeama: Tunakwenda kuifunga Yanga Ijumaa

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Medeama SC, Moses Armah Parker amesema wanao uhakika wanaweza kwenda kuifunga Yanga SC, Ijumaa kwenye mchezo wa CAFCL.

"Wachezaji wangu walifanya vizuri mchezo wetu dhidi ya CR Belouizdad, walikuwa na shauku kubwa ya mchezo kabla ambayo ilitusaidia"- amesema Rais wa Medeama, Moses Armah

"Tutacheza dhidi ya Yanga SC Ijumaa na tutashinda tena"- ameongeza kusema.

"Sisi Medeama tunaenda kufuzu kundi hili na nichukue nafasi hii kuwashukuru watu wa Kumasi, na bado nawaomba watuunge mkono Ijumaa hii na hatutawaangusha"- amemalizia Rais wa Medeama SC, Moses Armah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: