Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais La Liga apongeza usajili wa Mbappe

Javier Tebas Rais wa La liga Javier Tebas

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa La liga Javier Tebas anaamini winga wa PSG, Kylian Mbappé tayari amesaini Real Madrid

“Ninahisi Kylian Mbappé amesajiliwa Real Madrid. Atakuwa nyota mwingine kwenye La Liga kama Bellingham, Vinicius Jr, Griezmann, na Lewandowski."

"Madrid wamekuwa waangalifu sana kifedha na wamejiandaa kwa usajili wa Mbappe. Mkakati wao sio wa muda mfupi, Sio lazima wauze mtu yeyote ili kumudu Mbappe. Kwa kweli hawana.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live