Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Karia atoa pole kifo cha Shabiki wa Yanga

Wallace Karia Rais wa TFF, Wallace Karia

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa kwa pole kwa shabiki mmoja aliyefariki dunia jana wakati wa mchezo wa Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Yanga na USM Alger Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live