Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais EPL atoa msimamo sajili za pesa ndefu za Waarabu

RICHARD MASTERS NEWCASTLE TAKEOVER Scaled E1680018365722 Rais wa Premier League Richard Masters

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Ligi Kuu maarufu Ulimwenguni Premier League (EPL) Richard Masters ametoa neno kuhusiana na fujo za usajili zinazofanywa na vilabu vya Saudi Arabia kuchukua nyota wanaokipiga Ligi Kuu ya England.

Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyama vya Soka vya nchi mbalimbali wakilalamikia matumizi holela ya fedha yanayofanywa na vilabu vya Saudi Arabia kununua wachezaji kwa pesa nyingi na kuwavuta nyota kadhaa ambao wanaonekana wamekwenda Saudia Arabia kwa sababu ya nguvu ya pesa.

Akizungumza Richard Masters amesema;

"Sina wasiwasi na kinachoendelea Saudi Arabia , Ligi ya Saudia ina haki ya kununua wachezaji kama ligi nyingine yoyote".

Je wewe mpenzi wa Soka una maoni gani na vilabu vya Saudi Arabia? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live