Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Cameroon kuteua Kocha mpya, Etoo apigwa chini

Etoo X Song Rais Cameroon kuteua Kocha mpya, Etoo apigwa chini

Tue, 27 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa Rais wa nchi ya Cameroon Paul Biya ameamua kuingilia kati uteuzi wa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Cameroon.

Taarifa kutoka nchini Cameroon zinasema kuwa Rais wa nchi ya Cameroon Paul Biya ameamua kuingilia kati uteuzi wa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Cameroon. Taarifa zinasema uteuzi wa kocha mpya hautamhusisha Rais wa sasa wa Shirikisho la soka nchini Cameroon (FECAFOOT) Samuel Eto'o hasa baada ya kufeli kwenye uteuzi wa kocha wa sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live