Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rais Barcelona atetemeka na ujio wa Mbappe Real Madrid

Joan Laporta Bn Rais Barcelona atetemeka na ujio wa Mbappe Real Madrid

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Barcelona Joan Laporta, ameonyesha hofu huku akitoa ya moyoni kwamba Kylian Mbappe kuhamia kwa wapinzani wao Real Madrid "Si habari njema."

Akizungumza na Mundo Deportivo, Laporta amesema..."Kama shabiki wa Barca, sio habari njema kumuona Mbappé akicheza Real Madrid.

Mbappe atavaa jezi nambari 9 Bernabeu baada ya kuafiki mkataba wa miaka mitano.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live