Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rafael Leao kumrithi Mbappe PSG

Leao X Mbappe Rafael Leao kumrith Mbappe PSG

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya PSG inamtazama mshambuliaji wa AC Milan na timu ya Taifa ya Ureno Raphael Leao kama mbadala wa Kylan Mbappe pindi atakapoondoka kikosini hapo.

Klabu ya PSG inamtazama mshambuliaji wa AC Milan na timu ya Taifa ya Ureno Raphael Leao kama mbadala wa Kylan Mbappe pindi atakapoondoka kikosini hapo. Mbappe anatajwa kutimkia klabu ya Real Madrid pindi mkataba wake na PSG utakapotamatika na tayari mazungumzo yamefanyika licha ya kuuficha ukweli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live