Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

REKODI: Huyu ndio mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu Qatar

Red Card Qatar Huyu ndio mchezaji wa kwanza kupewa kadi nyekundu Qatar

Fri, 25 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda Mlango wa Taifa la Wales Wayne Hennessey anaingia kwenye historia ya kuwa mchezaji Wa kwanza kuoneshwa kadi nyekundu kwenye michuano Ya Kombe La Dunia 2022 inayofanyika nchini QATAR.

Golikipa huyo amepewa kadi nyekundu baada ya kumchezea Vibaya Mchezaji wa Iran - Mehdi Taremi, mchezo wa kundi B.

Mchezo huo umemalizika kwa Iran kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa dakika za lala salama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live