Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RC, DC watembelea kituo cha TFF Kigamboni

Tanfootball 20211119 1 Amoss Makalla, Fatma Nyangasa watembelea kituo cha TFF

Sat, 20 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea mradi wa Kituo cha michezo kinachojengwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), eneo la Mwasonga, Kigamboni, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo, Makalla ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa na Katibu wa TFF, Wilfred Kidau.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live