Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RATIBALIGIKUU: Yanga kufungua Pazia la Ligi na huyu...!

Yanga Squad Full Mabingwa watetezi Ligi Kuu Bara, Timu ya Yanga

Mon, 7 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC watacheza dhidi ya KMC katika mechi ya kwanza msimu wa 2023/24 katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Katika mechi ya mwisho timu hizo kukutana Yanga ilishinda bao 1-0 likifungwa na Clement Mzize.

Je Yanga wana kikosi cha kutetea tena Ubingwa, Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: