Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RATIBA: Michezo ya leo Agosti 15 Ligi Kuu NBC

Ihefu FC Yaitangulia Simba SC ASFC, Ligi Kuu Ihefu watapata Nafasi ya kucheza mchezo wa kwanza msimu mpya 2023/24

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2023/24 linafunguliwa leo Agosti 15 kwa Michezo mitatu.

Michezo itakayopigwa leo ni;

Ihefu SC vs Geita Gold FC 16:00

Namungo FC vs JKT Tanzania 18:00

Dodoma FC vs Coastal Union FC 21:00

Klabu ya Yanga ndio Bingwa Mtetezi wa Ligi Kuu NBC baada ya kulinyakua msimu uliopita. Je Msimu huu watafanikiwa kulitetea?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live