Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RATIBA: Michezo ya Leo Machi 11, Ligi ya Mabingwa Afrika

Mamelodi Va Ahly Leo.jpeg RATIBA: Michezo ya Leo Machi 11, Ligi ya Mabingwa Afrika

Sat, 11 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya hatua ya makundi ya klabu Bingwa Afrika inaendelea tena leo Machi 11, 2023 kwa mechi tatu za kuhitimisha raundi ya nne.

MAMELODI SUNDOWNS vs AL AHLY

Uwanja : Loftus Versfeld, Pretoria Muda: Saa 10:00 jioni

Mamelodi Sundowns (alama 7) ambayo ipo nafasi ya pili kwenye kundi B itakuwa mwenyeji wa Al Ahly (alama 4) ambayo ipo nafasi ya tatu huku timu zote zikihitaji ushindi ili kuwa nafasi nzuri ya kufuzu kwenda hatua ya robo fainali.

MSIMAMO KUNDI B

1. Al Hilal Pts- 9 2. Sundowns Pts- 7 3. Al Ahly Pts- 4 4. Cotonsport Pts- 0

Al Ahly ???????? imeshindwa kupata ushindi ikiwa ndani ya Ardhi ya Afrika Kusini katika mechi 13, sare 8 na vipigo 5.

MECHI ZINGINE #CAFCL

19:00 PETRO ATLETICO vs WYDAD AC

22:00 JS Kabylie vs AS Vita

Chanzo: www.tanzaniaweb.live