Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Vigogo waliotinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

CD4E7E74 582E 4102 BE0E EB6FF6E8A879.jpeg RASMI: Vigogo waliotinga Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

Sun, 2 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Michezo ya kuhitimisha michezo ya hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, ikikamilika Jana Jumamosi April 1.

Hizi ndizo Timu nane ambazo zimekata tiketi ya kwenda hatua ya Robo Fainali ya Michuano hiyo mikubwa ya Vilabu barani Afrika

Timu zilizomaliza vinara katika makundi yao ni

Raja CA (Morocco) Mamelodi Sundowns (Afrika ya Kusini) Espérance de Tunis (Tunisia) Wydad AC (Morocco)

Timu zilizomaliza katika nafasi ya pili

Al Ahly (Misri) JS Kabylie (Algeria) CR Belouizdad (Algeria) Simba SC (Tanzania)

Droo ya kupanda michezo ya Robo Fainali itafanyika siku ya Jumatano ya April 5 Jijini Cairo nchini Misri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live