Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Ramsdale asaini Mkataba mpya Arsenal

Ramsdale Contract 0.png Ramsdale asaini Mkataba mpya Arsenal

Fri, 19 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinda mlango wa klabu ya Arsenal, Aaron Ramsdale amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Washika Mitutu hao wa Jiji la London mpaka 2026.

Mlinda mlango wa klabu ya Arsenal, Aaron Ramsdale amesaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kuwatumikia Washika Mitutu hao wa Jiji la London mpaka 2026. Ramsdale (25) raia wa England anatarajiwa kulipwa mara mbili ya mshahara wake wa awali wa pauni 60,000 kwa wiki na sasa atatia kibindoni kitita cha pauni 120,000 kwa wiki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live