Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Mpole atua FC Lupopo

Mpole Lupopo George Mpole

Wed, 21 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, George Mpole amekamilisha dili la kujiunga na timu ya FC Saint-Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili.

Mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, George Mpole amekamilisha dili la kujiunga na timu ya FC Saint-Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili. Mpole amejiunga na timu hiyo baada ya kuachana na Geita Gold aliyoitumikia msimu wa 2021/22.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live