Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Mechi ya Yanga vs Medeama kupigwa saa 10 jioni

Kibabage Vs Medeama.jpeg Mechi ya Yanga vs Medeama kupigwa saa 1O jioni

Tue, 12 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mechi ya klabu Bingwa Afrika, Yanga SC dhidi Medeama itachezwa saa 10 Jioni tarehe December 20- 2023 Siku ya Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa Tanzania.

Yanga ipo kundi D sambamba na Timu za Al Ahly, Medeama na CR Belzoudad na tayari imeshacheza mechi 3.

Muda wa mechi unapangwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: