Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Hazard atangaza kutundika Daluga

Eden Hazard Called Up Eden Hazard

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Chelsea na Real Madrid na timu ya Taifa ya Ubelgiji Eden Hazard ametangaza kustaafu kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 32.

Mshambuliaji wa zamani wa klabu za Chelsea na Real Madrid na timu ya Taifa ya Ubelgiji Eden Hazard ametangaza kustaafu kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka 32. Sababu kubwa ya Hazard kustaafu mapema ni majeraha yanayomuandama mara kwa mara tangu alipotua kwenye viunga vya Santiago Bernabeu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live