Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Geita Gold yashuka Daraja

Geita Golddddddd Kikosi cha Geita Gold

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Soka ya Geita Gold yenye Maskani yake Mkoani Geita imeshuka Daraja la Ligi Kuu Bara ikungana na Mtibwa Sugar.

Geita imekubali kichapo cha magoli 2-0 katika mchezo wa mwisho mbele ya Azam FC mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Nyankumbu.

Geita Gold imemaliza na alama 26 na hivyo kushuka daraja moja kwa moja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live