Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: Achraf Hakimi afunguliwa Mashtaka ya Ubakaji

Ashraf Hakimi X Uarabuni Mchezaji wa Morocco & PSG, Achraf Hakimi

Fri, 3 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Achraf Hakimi amefunguliwa mashtaka na waendesha mashtaka kufuatia madai ya ubakaji anayoshutumiwa nayo.

Siku tatu zilizopita mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 24 alimshutumu Achraf Hakimi kwa ubakaji na mamlaka za mitaa zikaanza uchunguzi juu ya jambo hili.

Tukio hilo inazungumzwa na mlalamikaji kuwa lilifanyika tarehe Februari 25, 2023, nyumbani kwa mchezaji huyo.

Achraf Hakimi alihojiwa jana na wachunguzi na kisha kuwekwa chini ya uangalizi wa mahakama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live