Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

RASMI: AFCON 2025 kupigwa July- August Morocco

BARLAMAN TODAY SITE WEB 3579 1.png RASMI: AFCON 2025 kupigwa July- August Morocco

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la soka nchini Morocco wamefikia makubaliano na shirikisho la soka Duniani FIFA kuhusu tarehe rasmi ya michezo ya fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2025.

Shirikisho la soka nchini Morocco wamefikia makubaliano na shirikisho la soka Duniani FIFA kuhusu tarehe rasmi ya michezo ya fainali za mataifa ya Afrika AFCON 2025. AFCON 2025 itakayofanyika nchini Morocco sasa itaanza rasmi July 23 - August 21, 2025 baada ya fainali za kombe la Dunia kwa klabu kutamatika ambazo zinaanza June 15 - July 13, 2025.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live