Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rüdiger kutoa pesa yake yote ya Kombe la Dunia kwa watoto hawa

RUDIGER ASD Rüdiger kutoa pesa yake yote ya Kombe la Dunia kwa watoto hawa

Tue, 15 Nov 2022 Chanzo: mwananchi.co.tz

Mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani na klabu ya Real Madrid, Antonio Rüdiger ameamua kutoa fedha zake zote atakazozipata kwenye michuano ya Kombe la Dunia ili kufanikisha upasuaji wa watoto nchini Sierra Leone ambapo ni Nchi ya asili ya Mama yake Mzazi.

Mchezaji wa kimataifa wa Ujerumani na klabu ya Real Madrid, Antonio Rüdiger ameamua kutoa fedha zake zote atakazozipata kwenye michuano ya Kombe la Dunia ili kufanikisha upasuaji wa watoto nchini Sierra Leone ambapo ni Nchi ya asili ya Mama yake Mzazi. Shukrani kubwa kwa familia ya @BigShoe_11 na madaktari wote ambao wamehusika kufanikisha hili tena nchini Sierra Leone. Tuwaombee watoto hawa ili waishi vizuri tena baada ya upasuaji. Mungu awabariki na kuwalinda," amesema Rüdiger.

Chanzo: mwananchi.co.tz