Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pyramids yamtimua kocha aliyemsajili Mayele

IMG 20240206 WA0001 Pyramids yamtimua kocha aliyemsajili Mayele

Tue, 6 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Soka ya Pyramids imemfuta kazi kocha wao Mreno, Jaime Pachecco baada ya kutofurahishwa na matokeo yao msimu huu .

Pachecco ameshindwa kutamba CAF Champions League na Ligi ya Ndani Kwa kula vichapo katika michezo kadhaa hivyo mabosi wa timu hii wameona ni Bora aende Ili washushe chuma kingine.

Jaime Pachecco alimnunua Fiston Mayele kutoka Yanga na kumpa nafasi ya kucheza katika Kikosi chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live