Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pyramids yakataa ofa ya sh bilioni 6.4 kumuuza Mayele

Nabi Amtaka Mayele Kaizer Mayele na Nabi

Fri, 23 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu Wa Pyramids FC, Krunoslav Jurcic ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo.

Familia ya Kaizer Motaung ambayo ndiyo wamiliki Wa Kaizer Chiefs walituma ofa Pyramids ya Tsh Billion 6.4 kumwitaji Mshambuliaji huyo kwa mapendekezo ya Kocha Nasreddine Nabi lakini ofa yao aikujadiliwa.

Mayele amebakiza mwaka Mmoja pekee Ndani ya Timu hiyo akiwa amefunga Magoli zaidi ya 20 kwenye mashindano yote ndani ya mwaka Msimu mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live