Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Putin aende au abaki?

Kanoute Arejea Uwanjani, Kukiwasha Leo Dhidi Ya Mashujaa.jpeg Sadio Kanoute.

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kazi kutoka Mali, Sadio Kanoute (27) amebakisha miezi mitatu tu katika kandarasi yake na wekundu wa Msimbazi Simba.

Kanoute alijiunga na Club ya Sinba Agosti 20, 2021 akasaini miaka mitatu ambapo mkataba wake utaisha Juni 30, 2024.

Vipi Wanasimba apewe mkataba mwinhine mezani au aende?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live