Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Pulisic anavyowaumbua mabosi Chelsea

Christian Pulisic Milan Christian Pulisic

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Christian Pulisic sasa amefunga magoli mengi 3 kuliko mchezaji yeyote wa chelsea msimu huu kwenye mashindano yote!

Mchezaji wa chelsea mwenye magoli mengi msimu huu ni Raheem Sterling ana magoli 2 kwenye mashindano yote.

Pulisic ni miongoni mwa wachezaji wa Chelsea waliioneshwa mlango wa kutokea dirisha lililopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live