Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisons yaanzisha timu ya Wanawake

Prisons Queens Prisons yaanzisha timu ya Wanawake

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania Prison rasmi imeanzisha timu ya wanawake inayoitwa Tanzania Prison Queens ikiwa makao makuu yake ni Chuo cha ufundi cha Magereza Ruanda, Mbeya

Taarifa imesema "Tunapenda kuujulisha umma na wanamichezo wote kwa ujumla kuwa tumeanzisha rasmi timu ya wanawake itakayo fahamika kwa jina la Tanzania Prison Queens"

"Kwa kuzingatia umuhimu wa timu hivi karibuni uongozi utafungua mitandao rasmi ya kijamii ya timu hiyo ili kusaidia upatikanaji wa habari na watu wanafamu maendeleo ya timu yetu"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live