Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisons wawekewa mzigo mezani kuifunga Simba SC

Tz Prisons Mil30 Tanzania Prisons itawavaa Simba SC Desemba 30

Wed, 28 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mchezo wa Tanzania Prisons ugenini dhidi ya Simba SC, uongozi wa klabu hiyo umeweka kitita cha Tsh milioni 30 endapo Wajelajela hao wataifunga Simba SC.

Simba SC itachuana na Tanzania Prisons katika dimba la Benjamin Mkapa siku ya Ijumaa Disemba 30, 2022.

Simba inakamata nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara wakiwa na tofauti ya alama 6 nyuma ya vinara Timu ya Yanga.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live