Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisons wasafisha benchi zima la ufundi

Prisons Waendelea Kusafisha.jpeg Prisons wasafisha benchi zima la ufundi

Mon, 27 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Taarifa za kustua asubuhi hii ni kutoka kwa Wajela jela Tanzania Prisons baada ya kuamua kuondoa Viongozi na watu wa benchi lake la ufundi na Uongozi wake wafikao 9 hadi 12.

Inataarifiwa kuwa Viongozi wa juu wa Taasisi hiyo wamejipanga kurejea upya katika michezo ijayo ili timu iwe imara zaidi na ndio maana imesafisha kuanzia timu ya wanaume ya wakubwa, Vijana na hata ya wanawake.

Siku chache zilizopita Timu hiyo iliachana na Kocha wake Mkuu Fred Felix Minziro.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live