Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisons wamtambulisha Kocha mpya, ni huyu ..!

Hamd Ally Prisons Hamad Ally, Kocha mpya wa Tanzania Prisons

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wajela Jela Timu ya Tanzania Prisons wamemtambulisha kocha wao Mkuu Mpya raia wa Tanzania Hamad Ally.

Hamad Ally anaenda kuvaa viatu vya Fred Felix Minziro waliyeachana nae siku kadhaa zilizopita.

Hamad amewahi kuwa kocha msaidizi wa vilabu vya KMC ya Jijini Dar na Mbao FC ya Mwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: