Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisons waachana na Tinocco

Tinnocco Benedictor Tinocco

Mon, 22 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tanzania Prison yenye maskani yake Jijini Mbeya imeachana na aliyekuwa Mlinda wake Benedictor Tinocco.

Klabu ya Tanzania Prison yenye maskani yake Jijini Mbeya imeachana na aliyekuwa Mlinda wake Benedictor Tinocco. Huku sababu ikiwa ni kuwa na kipindi kikubwa cha majeraha na kutokuwa katika mahesabu ya Mwalimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live