Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisons hali mbaya sana

Prisons 1 Prisons hali mbaya sana

Thu, 3 Mar 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanzania Prisons bado sana kurejea kwenye ubora kwa kuwa imeshinda mechi 3 ambazo ni dk 270 ndani ya ligi katika mechi 17 ilizocheza.

Jana Machi 2 iligawana pointi mojamoja na Mtibwa Sugar baada ya kulazimisha sare ya bila kufungana mazima ikiwa na pointi 13 kibindoni.

Ipo nafasi ya 16 ikiwa imeruhudu jumla ya mabao 21 yakufungwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live