Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prison vs Coastal, Namuno na Ihefu kitawaka leo

Prisons Vs Mtibwa Nn Prison vs Coastal, Namuno na Ihefu kitawaka leo

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Novemba 23 kwa mechi mbili katika viwanja tofauti.

Katika Uwanja wa Sokoine, Mbeya Wajelajela Tanzania Prisons watakuwa wenyeji wa Wagosi wa Kaya, Coastal Union majira ya saa 10:00 jioni.

Wauaji wa Kusini, Namungo FC watakuwa wenyeji wa Mbogomaji, Ihefu FC katika dimba la Majaliwa, Lindi majira ya saa 1:00 usiku.

Muda: Saa 10:00 JIONI TZ PRISONS vs COASTAL UNION Uwanja: Sokoine, Mbeya

Muda: Saa 1:00 USIKU NAMUNGO FC vs IHEFU FC Uwanja: Majaliwa, Lindi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live