Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prisca Kishamba akubali yaishe kwa Manara

Prisca Kishamba X Manara Prisca Kishamba akubali yaishe kwa Manara

Wed, 12 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya jana kushambuliwa katika mtandao wa Instagram wa Manara Mtangazaji wa Kituo cha Clouds FM Prisca Kishamba ameamua kimtindo kulizima bifu lake na aliyekuwa msemaji wa Yanga Haji Manara.

Kupitia Ukurasa wake wa Instagram Prisca ameandika;

"Mwaka huu anatimiza miaka 50, Kama baba yangu Josephat kishamba angekua hai june 14 angetimiza miaka 51 hamuoni kama najibizana na baba yangu jamani? mwambieni baba sijapenda anachonifanyia nimeamua kumpa heshima yake ameshinda!"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live