Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prince Dube auaga ubachela

Prince Dube Of Azam Fc Mi1feykn3wuy18v0ybfswxyrx?fit=1920%2C1080&ssl=1 Mchezaji wa Azam FC, Prince Dube

Mon, 9 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

Nyota wa klabu ya Azam FC, Prince Dube amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu mwishoni mwa juma huko nyumbani kwao Zimbabwe.

Mchezaji huyo ametumia muda huu wa mapumziko kuvuta jiko kabla ya kurudi kambini kujiunga na wachezaji wenzake kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara na Ule wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika.

Dube ambae alimaliza msimu na majeruhi, ndie aliekuwa kinara wa mabao katika kikosi cha Azam FC, huku akishika nafasi ya tatu katika list ya Wafungaji bora msimu uliopita (14) akizidiwa na John Bocco (16) na Chriss Mugalu (15), wote kutoka Simba SC.

Chanzo: eatv.tv