Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prince Dube, Tigere na Kangwa Kuikosa Simba

DUBE Prince Dube, Tigere na Kangwa Kuikosa Simba

Wed, 29 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zimbabwe, amechagua kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki michuano ya AFCON 2021 itakayoanza Januari 9 hadi Februari 6, 2022 nchini Cameroon.

Katika kikosi hicho, wapo wachezaji watatu kutoka Azam FC ambao ni straika Prince Dube, kiungo Never Tigere na beki Bruce Kangwa.

KIKOSI KAMILI HIKI HAPA: MAKIPA: Petros Mhari (FC Platinum), Martin Mapisa (FC Zamora), Talbert Shumba (Free State Stars)

MABEKI: Peter Muduwa (Highlanders), Alec Mudimu (Torpedo Kutaisi), Takudzwa Chimwemwe (Nkana), Jordan Zemura (AFC Bournemouth), Godknows Murwira, Gerald Takwara (Venda Football Academy), Teenage Hadebe (Houston Dynamo), BRUCE KANGWA (AZAM), Onismor Bhasera (SuperSport United)

VIUNGO: Kelvin Madzongwe (FC Platinum), Thabani Kamusoko (Zesco United), NEVER TIGERE (AZAM), Kudakwashe Mahachi (SuperSport United), Ishmael Wadi (JDR Stars), Kundai Benyu (Vestri)

MASTRAIKA: Admiral Muskwe (Luton Town), PRINCE DUBE (AZAM), David Moyo (Hamilton Academical), Knowledge Musona (Al-Tai), Tinotenda Kadewere (Olympique Lyonnais).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live