Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Prince Dube: Nataka makombe, Azam haina malengo ya kubeba mataji

Dube Awataja Simba Baada Ya Ushindi Wao Wa 5 0 Prince Dube

Fri, 8 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Azam FC Prince Dube baada ya kuandika barua ya kuwaaga mashabiki wa klabu ya Azam amesema kuwa klabu hiyo haina malengo na malengo yake yeye makubwa ni kushinda mataji.

Dube ameweka wazi kuwa wakati anasajiliwa na Azam aliaminishwa kuwa wataenda kupambana kwa ajili ya kubeba mataji lakini sasa viongozi hawajali iwe wakishinda au wakipoteza.

Dube ameeleza kuwa malengo yake ni kushinda mataji na anahitaji kwenda kwenye klabu ambayo ina malengo ya kubeba mataji na anahitaji kubadili mazingira pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live