Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Potter anukia Crystal Palace

Graham Potter Kuwajibika Graham Potter

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa zamani wa Chelsea na Brighton Graham Potter huwenda akala kandarasi kuitumikia Crystal Palace.

Potter amekuwa na wakati mzuri akiwa na Brighton & Hove Albion kabla hajatimkia The Blues alipohudumu kwa muda mfupi na kuondoka.

Kwa sasa Potter hana kibarua tangu alipotimuliwa katika kikosi cha Chelsea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live