Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Polisi Tz waipiga vijembe Yanga, waitwa wezi wa Mataulo Golini

Yanga X Polisi Polisi Tanzania waipiga vijembe Yanga, waitwa wezi wa Mataulo Golini

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Polisi Tanzania imeendelea na utaratibu wake wa ‘kuicharura’ Yanga SC kuelekea mchezo wa leo wa Azam Sports Federation Cup utakaopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi.

Klabu ya soka ya Polisi Tanzania imeendelea na utaratibu wake wa ‘kuicharura’ Yanga SC kuelekea mchezo wa leo wa Azam Sports Federation Cup utakaopigwa katika dimba la Azam Complex, Chamazi. “Tumeshtuka waliogoma kudeka muda wao unakaribia, sasa niwajulishe tu kuwa tumeandaa ulinzi maalumu kwa ajili ya TAULO la golikipa wetu maana hawakawii kuliiba kama walivyozoea. Kila kona tupo makini” andiko la Polisi Tanzania

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: